RAIS KIKWETE ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MTANGAZAJI WA TBC MAREHEMU HALIMA MCHUKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAIS KIKWETE ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MTANGAZAJI WA TBC MAREHEMU HALIMA MCHUKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI LEO

https://mail.google.com/mail/?ui=2&ik=3530edf2ab&view=att&th=1348eb29a3da1aca&attid=0.1&disp=inline&realattid=f_gwt3dc9o0&zw 
Rais Jakaya Kikwete akipeana mkono na Mkurugenzi Mkuu wa TBC Bw Clement Mshana wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa mtangazaji Halim Mchuka leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, kabla ya kwwenda kuzikwa makaburi ya Msasani baada ya Sala ya Ijumaa. 
 https://mail.google.com/mail/?ui=2&ik=3530edf2ab&view=att&th=1348eb29a3da1aca&attid=0.2&disp=inline&realattid=f_gwt3dc9q1&zw 
Rais Jakaya kikwete akiwapa pole wafiwa
https://mail.google.com/mail/?ui=2&ik=3530edf2ab&view=att&th=1348eb29a3da1aca&attid=0.3&disp=inline&realattid=f_gwt3dc9r2&zw 
Rais Jakaya Kikwete na waombolezaji wakiombea mwili wa Halima Mchuka
https://mail.google.com/mail/?ui=2&ik=3530edf2ab&view=att&th=1348eb29a3da1aca&attid=0.4&disp=inline&realattid=f_gwt3dc9s3&zw 
Picha Ya Marehemu Halima Mchuka Enzi Za Uhai Wake
https://mail.google.com/mail/?ui=2&ik=3530edf2ab&view=att&th=1348eb29a3da1aca&attid=0.5&disp=inline&realattid=f_gwt3dc9u4&zw 
Aliyekua Mkurugenzi Mkuu wa TBC Mh Tido Mhando (mwenye suti nyeusi) akiwa pamoja na baadhi ya waombolezaji katika Msiba wa Halima Mchuka.Picha Na Ikulu

1 comment:

  1. Anonymous2:39 PM

    bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe.

    ReplyDelete

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages