RAIS KIKWETE AKIWASILI UWANJA WA NDEGE WA ENTEBBE TAYARI KUHUDHURIA
MKUTANO WA NCHI ZA MAZIWA MAKUU KUPINGA UNYANYASAJI NA UKATILI WA
KIJINSIA
RAIS JAKAYA KIKWETE AKIONGEA NA RAIS WA ZAMBIA NA MWENYEKITI WA ICGLR
ALIYEMALIZA MUDA WAKE MH MICHAEL CHILUFYA SATA (SHOTO) NA RAIS MWAI
KIBAKI WA KENYA WAKATI WA UFUNGUZI WA MKUTANO WA NCHI ZA MAZIWA MAKUU
KUPINGA UNYANYASAJI NA UKATILI WA KIJINSIA
RAIS SATA AKIMKABIRDHI RAIS MUSEVENI UENYEKITI WA ICGLR MKUTANO WA
NCHI ZA MAZIWA MAKUU KUPINGA UNYANYASAJI NA UKATILI WA KIJINSIA
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria Mkutano wakupinga ukatili wa kijinsia jijini Kampala.Picha Na Ikulu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)