Rais
Jakaya Kikwete akihutubia kabla ya kumalizika kwa mkutano wa viongozi
wa nchi maziwa makuu ambao wameridhia kupinga ukatili wa kijinsia
katika nchi za maziwa makuu wakati wa kilele cha mkutano wa nchi hizo
leo Desemba 16, 2011 katika hoteli Speke Commonwealth Resort kitongoji
cha Munyonyo nje ya jiji la Kampala
Rais Jakaya Kikwete akichangia mada katika siku ya pili ya mkutano huo
wa ICGLR wa kupinga unyanyasaji na ukatili wa kijinsia hoteli ya Speke
Commonwealth Resort kitongojini Munyonyo, Kampala, leo Desemba 16, 2011
Rais
Jakaya Kikwete akimpongeza Profesa NTUMBO LWAMBO kutoka DRC baada ya
kuidhinishwa na kukubali kuwa Katibu Mtendaji mpya wa Sekretarieti ya
Kamati ya Kimataifa ya Nchi za Maziwa Makuu katika kilele cha mkutano wa
nchi hizo leo Desemba 16, 2011 katika hoteli Speke Commonwealth Resort
kitongoji cha Munyonyo nje ya jiji la Kampala
Rais
Jakaya Kikwete akimuwekea chaneli ya kupata lugha Rais Mwai Kibaki wa
Kenya katika siku ya pili ya mkutano huo wa ICGLR wa kupinga unyanyasaji
na ukatili wa kijinsia hoteli ya Speke Commonwealth Resort kitongojini
Munyonyo, Kampala, leo Desemba 16, 2011
Rais
Jakaya Kikwete na Rais Mwai Kibaki wakitia saini mkataba wa kuridhia
kupinga ukatili wa kijinsia katika nchi za maziwa makuu wakati wa kilele
cha mkutano wa nchi hizo leo Desemba 16, 2011 katika hoteli Speke
Commonwealth Resort kitongoji cha Munyonyo nje ya jiji la Kampala
Rais
Jakaya Kikwete akiteta jambo na Rais Yoweri Museveni wa Uganda huku
Katibu Mtendaji wa Kamati ya Kimataifa ya Nchi za Maziwa Makuu (ICGLR)
anayemaliza muda wake Balozi Liberata Mulamula akitega sikio katika siku
ya pili ya mkutano huo wa viongozi wakuu wa ICGLR wa kupinga
unyanyasaji na ukatili wa kijinsia hoteli ya Speke Commonwealth Resort
kitongojini Munyonyo, Kampala, leo Desemba 16, 2011
Rais
Jakaya Kikwete akiongea na Rais Michael Satta wa Zambia na mkewa usiku
wa kuamkia leo, muda mchache kabla hawajaelekea Ikulu ya Entebbe ambako
Rais Yoweri Museveni aliandaa chakula cha usiku kwakatik wajumbe
mkutano huo wa viongozi wa ICGLR wa kupinga unyanyasaji na ukatili wa
kijinsia hoteli ya Speke Commonwealth Resort kitongojini Munyonyo,
Kampala, leo Desemba 16, 2011
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)