RAIS JAKAYA KIKWETE APONGEZWA NA GEORGE BUSH - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAIS JAKAYA KIKWETE APONGEZWA NA GEORGE BUSH

Rais Jakaya Kikwete, akipongezwa na Rais Mstaafu wa Marekani, George W. Bush, leo kwa sera nzuri za Serikali yake kuhusu huduma za afya nchini hasa juhudi zinazofanyika kudhibiti malaria, ukimwi na saratani wakati walipokutana Ikulu jijini  Dar es Salaam leo. Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages