Mwantumu Mahiza afungua Mafunzo ya Afya ya Jamii CHF/TIKA KIBAHA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mwantumu Mahiza afungua Mafunzo ya Afya ya Jamii CHF/TIKA KIBAHA

Mkurugenzi wa Halmashauri wa Kibaha, Jenifa Omole akizungumza  wakati wa ufunguzi wa mafunzo  kwa ajili ya uanzishaji wa  wa Mfuko wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF/TIKA)  kwa Halmashauri ya Mji wa Kibaha, mkoani Pwani juzi. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza  na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Hamis Mdee.
Baadhi ya viongozi wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha wakiwemo madiwani, waliohudhuria mafunzo hayo.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza (kulia) akihutubia wakati wa uzinduzi wa mafunzo kwa ajili ya uanzishaji wa  wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF/TIKA), kwa Halmashauri ya Mji wa Kibaha, mjini Kibaha, jana. Kutoka kushoto ni Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Hamis Mdee na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Jenifa Omole.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza, Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Halima Kihemba, Mkurugenzi wa Hamashauri hiyo, Jenifa Omole na Naibu Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Hamis Mdee, wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi  wa halmashauri hiyo, baada ya kufungua mafunzo hayo jana.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages