Miaka 50 Ya Uhuru:Taswira Kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais Idara ya Mazingira - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Miaka 50 Ya Uhuru:Taswira Kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais Idara ya Mazingira


Afisa wa Baraza la kuhifadhi Mazingira[NEMC] Bi Joyce Omolo akimueleza Mikakati inayochukuliwa na Nemc kuhusu Kuhifadhi Mazingira Bw Cesilia Katata Kwenye Maonyesho ya Miaka 50 ya Uhuru yanayofanyika kwenye Viwanja vya Saba Saba Mijni Dar es salaam
Afisa Mwandamizi Ofisi ya Makamu wa Rais Idara ya Mazingira Bi Fainahappy Kimambo akimuonyesha Vipeperushi vya Mkakati wa Mazingira  Bw Ali Hassan kwenye Maonyesho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara yanayofanyika Viwanja vya Saba Saba Mjini Dar es salaam
Afisa wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bw Thomas Chali akiwaonyesha Vipeperushi Bw Deuotha Filemom na Maraha Daudi kuhusu Mikakati ya Kuhifadhi Mazingira na Kupanda Miti kwenye Vianzo vya Maji, kwenye Maonyesho ya Miaka 50 ya Uhuru yanayoendelea Kwenye Viwanja vya saba Saba Mjini Dar es salaam.Picha na Ali Meja

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages