Mara
baada ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Dk. Jakaya Kikwete kukagua vikosi vya
ulinzi na usalama na vikosi hivyo kutoa heshima kwa Amiri Jeshi Mkuu
huyo, kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania leo katika
uwanja wa Uhuru, yalifuatia maonyesho ya vifaa vya kijeshi
vilivyoonyeshwa na jeshi tukufu la Tanzania JWTZ, ambapo askari wa jeshi
hilo wakiwa wakakamavu, walipita na kuonyesha vifaa vya kivita kama
linavyoonekana na gari hili ni la Rada hutumiwa na jeshi la wanamaji
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)