Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha ambaye pia ni Mkuu wa
Wilaya ya Arumeru, Mercy Sila, akizindua rasmi Kituo cha Biashara kwa
wafanya biashara wadogo, wakati na wakubwa wa Benki ya NMB mkoani Arusha
jana. Wengine wanaoshuhudia kutoka kushoto ni CEO wa NMB, Mark
Wiessing, Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya NMB,Misheck
Ngatunga na Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha ambaye pia ni Mkuu wa
Wilaya ya Arumeru, Mercy Sila, akisoma kibao cha uzinduzi mara baada ya
kuzindua rasmi Kituo cha Biashara kwa wafanya biashara wadogo, wakati na
wakubwa wa Benki ya NMB mkoani Arusha jana. Wengine wanaoshuhudia
kutoka kulia ni CEO wa Benki ya NMB, Mark Wiessing, Mwenyekiti wa Bodi
ya Benki ya NMB, Misheck Ngatunga na kushoto ni
Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha ambaye pia ni
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Mercy Sila, akifurahi baada ya kuzindua rasmi
Kituo cha Biashara kwa wafanya biashara wadogo, wakati na wakubwa wa
Benki ya NMB mkoani Arusha jana. Wengine wanaoshuhudia kutoka kulia ni
CEO wa Benki ya NMB, Mark Wiessing, Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya NMB,
Misheck Ngatunga na kushoto ni Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema.
Kaimu Mkuu wa
Mkoa wa Arusha ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Mercy Sila,
akipeana mkono wa shukrani na CEO wa Benki ya NMB, Mark Wiessing (kulia)
na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya NMB, Misheck
Ngatunga baada ya kuzindua rasmi Kituo cha Biashara kwa wafanya
biashara wadogo,wakati na wakubwa wa Benki ya NMB mkoani Arusha jana. Kushoto ni Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema.Picha na
Mpigapicha wetu





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)