John Mnyika:Jitokeze Kesho, 2nd Dec, 2011 Ukumbi IFM katika Mkutano Wa Wadau Ulioitishwa na TANESCO Kukataa Ongezeko la Bei ya Umeme - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

John Mnyika:Jitokeze Kesho, 2nd Dec, 2011 Ukumbi IFM katika Mkutano Wa Wadau Ulioitishwa na TANESCO Kukataa Ongezeko la Bei ya Umeme


 Mheshimiwa John Mnyika,Mbunge wa Jimbo la Ubungo(CHADEMA)na Waziri Kivuli wa Nishati na Madini
--
Kesho tarehe 2 Disemba 2011 katika Ukumbi wa Makumbusho Dar es salaam (mkabala na IFM)kuanzia saa 4 asubuhi EWURA imeitisha Mkutano wa Wadau kujadili ombi la TANESCO la kupandisha bei ya umeme kwa wastani wa 155%(zaidi ya mara tatu ya bei ya sasa).
Nawaomba wanamtandao wote tuhamasishe umma kwa kutumia TEHAMA (sms, facebook, twitter, email na njia nyingine) ili wananchi waweze kuhudhuria mkutano husika kwa wingi na kutoa maoni.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages