Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa Jimbo la
Hai, Mh.Freeman Mbowe akimkaribisha mbunge wa jimbo la Arusha mjini,Mh.
Godbles Lema kuchangia katika harambee ya ujenzi wa kanisa KKKT usharika
wa Nshara Moshi.
Mwenyekiti wa makampuni ya IPP,Bw. Reginard Mengi akimueleza jambo Mh Mbowe kabla ya kuanza kwa harambee.
Mbunge wa Mbeya mjini Mh Joseph Mbilinyi akichangia katika harambee ya ujenzi wa kanisa hilo.
Mh
Mbowe akizungumza na waumini wa dini ya kiislamu wakati wa harambee ya
kuchangia ujenzi wa msikiti wa Rambo uliopo Machame wilayani Hai.
Mh
Mbowe akizungumza na waumini wa dini ya kiislamu wakati wa harambee ya
kuchangia ujenzi wa msikiti wa Rambo uliopo Machame wilayani Hai.PICHA KWA HISANI YA MICHUZI BLOGU NA KWA PICHA ZAIDI << BOFYA HAPA >>
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)