
Ni
Miaka 50 ya Uhuru huku tukipunguza VITAMBI...KITAMBI NOMA BONANZA
inakuletea bonge la bonanza la soka sambasamba na utambulisho wa KITAMBI
NOMA TEAM. Basi kwa pamoja tukutane siku ya kesho Ijumaa Tar:
09/12/2011
katika viwanja vya shule ya msingi SUYE kuanzia saa 2 asubuhi.
Nyote mnakaribishwa!
katika viwanja vya shule ya msingi SUYE kuanzia saa 2 asubuhi.
Nyote mnakaribishwa!





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)