Bidhaa sokoni zikiwa ‘zimekimbiwa’ na wamiliki wake kwa ajili ya maji.
Maji yakiwa yamekata mawasiliano kati ya wateja na wauzaji.
Hali ilikuwa mbaya kwa waliolazimika kupata mahitaji yao sokoni hapo.
BAADA ya jiji la Dar es Salaam kukumbwa na mafuriko yaliyosababisha vifo vya makumi ya watu na kuharibu nyumba nyingi za wakazi wa jiji hilo, mchana wa leo hali hiyo imehamia mkoani Morogoro ambapo baadhi ya nyumba za watu, likiwemo soko kuu la Manispaa ya Morogoro yamekumbwa na mafuriko makubwa kufuatia mvua kubwa zilizonyesha kwa muda wa dakika 45 mfululizo.
PICHA NA DUNSTAN SHEKIDELE, GPL, MOROGORO

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)