LUKAZA BLOG INAWATAKIA WASOMAJI WAKE KHERI YA KRISMASS NA MWAKA MPYA 2012 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

LUKAZA BLOG INAWATAKIA WASOMAJI WAKE KHERI YA KRISMASS NA MWAKA MPYA 2012

 
Timu nzima ya LUKAZA BLOG ikiongozwa na Mkurugenzi Wake JOSEPHAT LUKAZA inapenda kuchukua nafasi hii kuwatakia wadau na wasomaji wa lukaza blog kheri ya krismass na mwaka mpya 2012.Mungu awabariki, awalinde na awatie nguvu na kuwaongezea pale ambapo mlitoa.

Lukaza Blog inapenda kuchukua nafasi hii Kuwashukuru wale wote ambao kila mmoja kwa nafasi yake ameiwezesha LUKAZA BLOG kufika hapa ilipo sasa. Mwaka 2012 ni mwaka ambao Timu Nzima ya LUKAZA BLOG inajiandaa kuja na mambo mengi mapya Na Mazuri .

Napenda kuchukua nafasi hii tena kuwaomba kuendelea kutembelea blogu yenu na kutoa maoni yenu pale ambao unaona kuna kitu kiongezwe, kipunguzwe au kipi tuboreshe.
Merry Chrismass and Happy New Year.

LUKAZA BLOG SUPER BRAND BLOG.



Imetolewa Na 
Josephat Lukaza
Lukaza Blog 
Lukaza Blog Administrator
http://josephatlukaza.blogspot.com
+255 712 390 200
Josephat.lukaza@yahoo.com
Josephat.lukaza@gmail.com

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages