KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 56 YA JUMUIYA YA WAZAZI TANZANIA NA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU YAFANA MBEYA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 56 YA JUMUIYA YA WAZAZI TANZANIA NA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU YAFANA MBEYA

Waziri mkuu Mizengo Pinda akihutubia katika kilele cha maadhimisho ya miaka 56 ya jumuiya ya wazazi Tanzania na maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru jijini mbeya
Waziri mkuu akikaribishwa na mkuu wa mkoa Mbeya Abasi Kandoro mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege Mbeya
Naye mwandishi wa habari wa gazeti la majira Chares Mwakipesile alisalimiana na waziri mkuu
Waziri mkuu Mizengo Pinda akipokea maandamano ya wazazi na wanafunzi waliyohudhuria sherehe hizo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages