KAZI YENYE KUTAWALA KILA SEKTA DUNIANI, HAIJALISHI...... - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KAZI YENYE KUTAWALA KILA SEKTA DUNIANI, HAIJALISHI......

 Kazi haichagui sura, rangi wala cheo, Huyu ni mmoja kati ya madada shupavu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ, akiwa kazini kurekodi matukio yaliyokuwa yakijiri wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru ndani ya Uwanja wa Taifa hivi majuzi. Hongera Dada kwa kuipenda kazi hii.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages