AJALI YA BAJAJI NA DALADALA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

AJALI YA BAJAJI NA DALADALA

Raia wakiangalia ajali iliyohusisha Daladala na Bajaji eneo la Barabara ya Shule ya Uhuru Kariakoo Dar es Salaam jana. Katika ajali hiyo dereva wa Bajaji aliumia na kuwahishwa hospitali baada ya daladala kuacha njia yake na kuingia upande wa pili ilipokuwa Bajaji hiyo.Picha na Sufiani

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages