KAMPUNI YA BIA SERENGETI YAZINDUA BIA YA SENATOR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KAMPUNI YA BIA SERENGETI YAZINDUA BIA YA SENATOR


Meneja masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Ephraim Mafuru akizungumza katika uzinduzi wa bia mpya ya Senetor Extra Lager ambayo imeanza kuzaliashwa na kusambazwa na kampuni hiyo. Bia hiyo inawalenga wachapakazi wa hali ya chini kabisa, wakulima, wavuvi na wengineo wa kanda ya ziwa na majirani zake. Bia ya Senetor itauzwa kwa bei nzuri ya shilingi elfu moja na mia tatu tu (1,300/-) picha zote na Mashaka Balterzar.
Meneja masoko wa BSL Ephraim Mafuru akibadilishana mawazo na baadhi ya viongozi wa kampuni hiyo baada ya uzinduzi wa bia ya Senoator, jijini Mwanza jana.
a
 Meneja mauzo wa Kanda ya Ziwa, Stanslaus Theophile akizungumza na watumishi, mawakala na wadau wa SBL katika uzinduzi wa bia mpya ya Senator Extra Lager.
Watumishi wa SBL, mawakala na wadau wa kampuni hiyo wakimsikiliza Meneja Masoko wa kampuni hiyo Ephraim Mafuru wakati wa uzinduzi wa bia ya Senator Extra Lager jana Jijini Mwanza.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages