KAMATI YA MAAFA ZANZIBAR YATOA SALAAM ZA RAMBIRAMBI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KAMATI YA MAAFA ZANZIBAR YATOA SALAAM ZA RAMBIRAMBI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Mhe. William Lukuvi (Mb) akiongea na wajumbe wa Kamati ya Taifa ya Maafa ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar walipofika ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya kutoa mkono wa rambi rambi kwa Maafa ya Mafuriko yaliyotokea Jijini Dar es Salaam, wa kwanza Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mh. Mohammed Aboud Mohammed,wa Pili ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Bw. Said Shaban na watatu ni Kamishina wa Zimamoto Zanzibar, Ali Abdallah Malimussy. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages