GLOBAL SHAMRA ZA KRISMAS ZILIVYOFANA QUALITY CENTRE DAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

GLOBAL SHAMRA ZA KRISMAS ZILIVYOFANA QUALITY CENTRE DAR

 
Father Christmas akipozi kupiga picha na watoto.
 

Hiyo ni sanamu ya Father Christmas iliyokuwepo katika lango kuu.
 

Umati wa watu wakiwa ndani ya mjengo huo.
 
Eneo la  Token Counter ambako kulikuwa na michezo ya watoto lilifurika  umati wa watu waliokuwa na shauku ya kufaidi burudani yake.
 
Watoto  walijiachia kwa michezo mingi ikiwemo kuendesha magari.
 
Watoto waliotaka kuendesha pikipiki nao walifurahisha roho zao.
 
Watoto wakiwa katika helikopta ya Quality Centre.
 
Sehemu ambayo bidhaa za kila aina huuzwa.
Mjengo wa Quality Centre uliopo Barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam jana ulifurika watu kibao wakiwa ni pamoja na wale waliokuwa na familia zao ili kwenda kupata burudani za kila aina na kujipatia mahitaji mbalimbali ambayo hupatikana hapo.
Mtandao huu ulikuwa huko ili kukuletea yaliyojiri huko ambapo miongoni mwa vivutio vya sikukuu hiyo ni kuwepo kwa Father Chirstmas ambaye alikuwa na kazi kubwa ya kuwapokea wageni na baadhi yao kupiga naye picha kwa ajili ya kumbukumbu.
PICHA NA ISSA MNALLY, GPL 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages