Dakika
90 za mchezo zimekwisha katika uwanja wa Taifa kati ya Uganda The
Cranes na Kilimanjaro Stars, Matokeo yakiwa sare ya kufungana goli 1-1,
kwa matokeo hayo dakika 30 zimeongezwa na mpira unaendelea hebu tuone
nani ataibuka mshindi na kuingia fainali akikutana na Rwanda ambayo
tayari imeshakata tiketi ya kucheza fainali ya michuano hiyo ya TUSKER
CECAFA CHALLENGE CUP 2011 Jijini Dar es salaam baada ya kuifunga Sudan
magoli 2-1.
Kama unavyoona makocha timu ya Uganda wakiwapasha misulia wachezaji wao
kabla ya kuanza kipindi cha dakika 30 za nyongeza.

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)