
Mbunge wa Kigoma Kusini, David kafulia
--
CHAMA
cha NCCR-Mageuzi kimemfukuza uanachama Mbunge wa Kigoma Kusini, David
kafulia na wajumbe wengine sita akiwamo aliyekuwa mgombea urais wa
chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa 2010, Hashim Rungwe.Uamuzi huo
ulitolewa kwenye kikao cha dharura cha Halmashauri Kuu (Nec) ya chama
hicho kilichofanyika katika Ukumbi wa Poroin jijini Dar es Salaam jana,
ambao ulitawaliwa na vurugu mpaka polisi wakaitwa ili kuongeza ulinzi.
Baada ya uamuzi huo kutolewa Kafulila alikwenda kupiga magoti mbele ya Mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia huku akibubujikwa machozi na kuomba radhi akisema: “Naomba radhi, nimekosa mnisamehe...”kwa Habari zaidi bofya na Endelea.,....>>>>>>





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)