BONDIA RASHIDI MATUMLA 'MTOA SUMU' AJIFUA KUMKABILI MANENO OSWARD 'MTAMBO WA GONGO DESEMBA 25 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BONDIA RASHIDI MATUMLA 'MTOA SUMU' AJIFUA KUMKABILI MANENO OSWARD 'MTAMBO WA GONGO DESEMBA 25


 Rashidi Matumla akiruka Kamba katika Kambi yake ya Mazoezi iliyopo Keko Dar es salaam leo
 Rashidi Matumla 'Mtoa Sumu' akipiga panch Bang wakati wa mazoezi yake kabla ya kumkabili bondia maneno Osward Desemba 25
 ufundi wa masubwi upo hapa
 ngumi ndonga masubwi mwanzo mwisho
 Bondia Rashidi Matumla (kulia) akioneshana ufundi wa kutupa masubwi na Mohamedi Matumla wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na mpambano na bondia Maneno Osward Desemba 25 katika ukumbi wa Henlken Kijichi Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages