Mkurugenzi wa Banki ya NIC Tanzania James Muchiri ,akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa hafla ya kukabidhi hundi ya Shilingi milioni Mbili na laki nne 2.4 kwa hospitali ya CCBRT kwa ajili ya wagonjwa wenye, matatizo ya ulemavu katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kushoto ni Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Erwin Telemans.
Mkurugenzi
wa Hospitali ya CCBRT Erwin Telemans akitoa neno la shukurani kwa
uongozi wa Benki ya NIC Tanzania baada ya kukabidhiwa hundi ya shilingi
Milioni 2.4 kwa ajili ya wagonjwa wenye, matatizo ya ulemavu katika
hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Benki
ya NIC Tanzania James Muchiri.
Mkurugenzi
wa Benki ya NIC Tanzania James Muchiri, akimkabidhi hundi ya shilingi
Milioni 2.4 Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Erwin Telemans kwa ajili ya
wagonjwa wenye matatizo ya ulemavu katika hafla iliyofanyika jijini Dar
es Salaam hivi karibuni.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)