Balozi Mustafa Nyang'anyi Amkaribisha Mwekezaji Kutoka india - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Balozi Mustafa Nyang'anyi Amkaribisha Mwekezaji Kutoka india


Mkurugenzi wa Kampuni ya Kimataifa ya Abhijeet ya India,Abhijeet Jayaswal (kushoto), akiwa na Balozi Mustafa Nyang'anyi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere,Dar es Salaam, Jayaswal yuko nchini kwa mwaliko wa kampuni ya Maks General Enterprises Limited kuangalia fursa za uwekezaji zilizpo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages