
Askofu
wa Kanisa Katoliki la Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhamam Kardinali
Polycap Pengo,akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam Jana
kuhusu hali ya kisiasa nchini, ambapo alikemea kitendo cha Spika wa
Bunge kukubali wabunge kujiongezea posho za vikao bungeni.Amewaasa kucha
tabia hiyo mbaya ya kujijali wao na kuacha kuwajali wananchi kwanza.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)