AIRTEL YAKABIDHIWA TUZO YA ULIPAJI KODI KWA RIDHAA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

AIRTEL YAKABIDHIWA TUZO YA ULIPAJI KODI KWA RIDHAA

 
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya simu ya mikononi ya Airtel,Sam Elangallor akipokea tuzo na cheti cha heshima kwa kushika nafasi ya mlipa kodi kwa ridhaa kati ya taasisi 10 zilizochaguliwa,tuzo hiyo imetolewa leo kwenye hotel ya Serena,jijini dar wakati wa hafla fupi ya maadhimisho ya miaka 5 ya siku ya mlipa kodi kwa taasisi mbalimbali zisizo za kiserikali.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages