Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Akisalimiana na
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mitaji na Maendeleo ya kijamii Bw, Robert
S. Shumake yenye Makao Makuu yake jimbo Michigan.
Makamu
wa Pili wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akiwa pamoja na Viongozi wa
Jumuiya ya Wazanzibari Wanaoishi Umarekani mara baada ya mazungumzo yao
yaliyofanyika katika Hoteli ya Crown Plaza iliyopo Mjini Washington Dc.
Pichani kushoto ya Balozi ni Mwenyekiti wa Jumuiya Dk. Omar Ali,
akifuatiwa na Bibi Nasra Ghasani kulia ni Naibu Waziri wa Afya wa
Zanzibar, Dk. Sira Ubwa Mamboya akifuatiwa na Nd.Shamis Abdulla
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)