Watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria wakiwa na Bango wakati wa maadhimisho ya Miaka hamsini ya Wizara
Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Jaji Profesa Ibrahim
Juma (mwenye suti) akiwa na DPP Feleshi wakielekea katika uzinduzi wa
maadhimisho hayo.
Jaji Kiongozi Fakhi Jundu akisoma hotuba wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya miaka hamsini kwa wizara ya Katiba na Sheria
Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Jaji Profesa Ibrahim Juma
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa Tume katika
uzinduzi wa maadhimisho ya miaka hamsini ya uhuru
Jaji
Kiongozi Fakhi Jundu akiwa na baadhi ya viongozi wa Wizara na Taasisi
zilizo chini ya Wizara ya Katiba na Sheria wakati wa uzinduzi wa
maadhimisho ya miaka hamsini ya uhuru kwa upande wa wizara
(picha zote
na ofisa habari wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Munir Shemweta)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)