Hazina wanawake Kamba msindi wa Tatu baada ya kuwavuta Ras Iringa - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Hazina wanawake Kamba msindi wa Tatu baada ya kuwavuta Ras Iringa

Timu ya Kamba ya Hazina wanawake (yenye jezi za Bluu) na washabiki wao wakisherekea ushindi wa tatu wa Mashindano ya SHIMIWI baada ya kuwavuta RAS Iringa (hawapo pichani) leo asubuhi jijini Tanga katika hatua za kumsaka msindi wa Tatu . Hazina kamba wanawake imefanikiwa kuwa mshindi wa tatu baada ya kuivuta RAS Iringa mvuto mmoja na kwenda nao sare mmoja.
Timu ya Kamba ya Hazina wanawake (yenye jezi za Bluu) ikiwavuta RAS Iringa (hawapo pichani) leo asubuhi jijini Tanga katika hatua za kumsaka msindi wa Tatu . Hazina kamba wanawake imefanikiwa kuwa mshindi wa tatu baada ya kuivuta RAS Iringa mvuto mmoja na kwenda nao sare mmoja.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages