Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Atembelea Kiwanda Cha Sao Hill iringa - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Atembelea Kiwanda Cha Sao Hill iringa

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akipata Maelezo kwa Mkurugenzi wa Nishati wa  Kampuni ya Green Resources Bi Roselyne Mariki kuhusu Mabaki ya Mbao yanavyofanyiwa Fanicha kwenye Kiwanda cha Saohill  ya Mufindi Mkoa wa Iringa.
Picha na Ali Meja

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages