Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi zawadi, Mwenyekiti wa Jumuiya
ya Kuhamasisha Maendeleo ya Wanawake Zanzibar
(COWPZ) Balozi Amina Salum Ally, kwa kutambua mchango wake katika
kuendeleza na kusimamia Jumuiya hiyo, wakati wa sherehe
za maadhimisho ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwa Jumuiya ya Kuhamasisha
Maendeleo ya Wanawake Zanzibar (COWPZ)
zilizofanyika kwenye Viwanja vya Bustani ya
Victoria mjini Zanzibar jana.
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mama Asha Bilal (wa pili kulia) akikata Keki maalumu
iliyoandaliwa ikiwa ni sehemu ya sherehe za maadhimisho ya miaka 20
tangu kuanzishwa kwa Jumuiya ya Kuhamasisha Maendeleo ya Wanawake Zanzibar (COWPZ) zilizofanyika kwenye
Viwanja vya Bustani ya Victoria mjini Zanzibar jana. Wengine ni baadhi
ya Viongozi wa Jumuiya hiyo kutoka (kushoto) ni
Waziri wa Ustawi wa Jamii Maendeleo, Vijana Wanawakw
na Watoto, Zainab Omary Juma, Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa
Rais wa Zanzibar, Fatma Fereji, Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar, Mama Awena Seif na (kulia) ni Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo,
Balozi Amina Salum Ally.
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mama Asha Bilal, akipokea maandamano ya Wanawake na Vijana,
wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 20.
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akipokea maandamano ya Wanawake na
Vijana, wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 20.
Mke wa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal,
akizungumza na Mkuu wa Kikundi cha Nuru ya Kisauni, Hamisa Maabad Ali,
wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho katika sherehe hizo.
Mke wa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, (wa
pili kushoto) Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mama Awena
Seif (kushoto) na Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar, Fatma Fereji, wakisikiliza maelezo kutoka kwa mjasiliamali ,
Biubwa Said aliyekuwa akiwaelezea jinsi ya kuandaa Clips za Viazi,
Mihogo na Tambi za Unga wa Dengu, wakati wa sherehe hizo.
Mke wa
Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal,
akijumuika kucheza baadhi
ya Kinamama waliohudhuria maadhimisho ya sherehe hizo za miaka 20 tangu
kuanzishwa kwa Jumuiya ya Kuhamasisha Maendeleo ya Wanawake Zanzibar (COWPZ).
baadhi
ya Kinamama waliohudhuria maadhimisho ya sherehe hizo za miaka 20 tangu
kuanzishwa kwa Jumuiya ya Kuhamasisha Maendeleo ya Wanawake Zanzibar (COWPZ).
Keki
ya Sherehe hizo...
Mke wa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal,
akisoma Hotuba yake wakati wa zungumza waliohudhuria maadhimisho ya
sherehe hizo za miaka 20 tangu kuanzishwa kwa Jumuiya ya Kuhamasisha
Maendeleo ya Wanawake Zanzibar (COWPZ).
Picha
ya Pamoja baada ya sherehe hizo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)