WAZIRI MKUU Pinda azindua Kiwanda cha Serengeti mjini Moshi - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI MKUU Pinda azindua Kiwanda cha Serengeti mjini Moshi

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda, hii lero amezindia kiwanda cha Bia cha Serengeti tawi la Moshi mkaoni Kilimanjaro. Kinwanda hicho cha kisasa na kikubwa kipo eneo la Pasua Boma Mbuzi katika barabara ya Sukari. 

 


Picha Zote Na Father Kidevu

1 comment:

  1. Viwanda ndio nguvu ya kuboresha vipato nchini mwetu, hivyo basi vitumiwe vizuri na kuangalia kotoharibu mazingira pia!

    ReplyDelete

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages