Waziri Mkuu Mizengo
Pinda, hii lero amezindia kiwanda cha Bia cha Serengeti tawi la Moshi
mkaoni Kilimanjaro. Kinwanda hicho cha kisasa na kikubwa kipo eneo la
Pasua Boma Mbuzi katika barabara ya Sukari.
-
All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Hello, my name is Josephat Lukaza. I've 12 years in Blogging and An Award Winner for the BEST Political Blog in African Bloggers Awards in 2015
Learn More →
Viwanda ndio nguvu ya kuboresha vipato nchini mwetu, hivyo basi vitumiwe vizuri na kuangalia kotoharibu mazingira pia!
ReplyDelete