Waziri Mkuu Mstaafu Sumaye aipongeza Kilimanjaro Premium Lager kwa kuipandisha Bendera ya Taifa katika Kilele cha Mlima wa Kilimnjaro - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Waziri Mkuu Mstaafu Sumaye aipongeza Kilimanjaro Premium Lager kwa kuipandisha Bendera ya Taifa katika Kilele cha Mlima wa Kilimnjaro

Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye akizungumza na washiriki wa Mbio za Bendera ya Taifa za Kili kabla ya kuingia katika lango kuu la Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro Marangu Mkoani Kilimanjaro leo Nov 27 na kuwakabidhi vijana watatu Daniel Ngowi (kushoto), Aloice Joseph (wa pili kushoto) na Raymond Ngowi (wa pili kulia) ambao wataipandisha juu ya Mlima wa Kilimanjaro kukamilisha Mbio za Bendera ya Taifa za Kili kupitia Kampeni ya Jivunie utanzania inayoenda sambamba na miaka 50 ya Uhuru kwa udhamini wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye akikimbiza Bendera ya Taifa baada ya kuingia katika lango kuu la kuingilia katika Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro Marangu Mkoani Kilimanjaro jana kabla ya kuwakabidhi vijana watatu Daniel Ngowi (kushoto), Aloice Joseph (wa pili kushoto) na Raymond Ngowi (wa pili kulia) ambao wataipandisha juu ya Mlima wa Kilimanjaro kukamilisha Mbio za Bendera ya Taifa za Kili kupitia Kampeni ya Jivunie utanzania inayoenda sambamba na miaka 50 ya Uhuru kwa udhamini wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager. Wa tatu kushoto ni Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe na wa  pili Kulia ni Mkuu wa wilaya ya Moshi, Alhaj Mussa Nsamizi.
Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye (kushoto) akikabidhi Bendera kwa vijana watatu kutoka kulia ni Daniel Ngowi, Aloice Joseph, na Raymond Ngowi baada ya kuingia katika lango kuu la Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro Marangu Mkoani Kilimanjaro jana ambao wataipandisha juu ya Mlima wa Kilimanjaro kukamilisha mbio za Bendera ya Taifa za Kili kupitia Kampeni ya Jivunie utanzania inayoenda sambamba na miaka 50 ya Uhuru kwa udhamini wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Mzee wa Mitikasi nilikuwepo kwa jili ya kuwaletea yanayojiri huko. Hapa nikiwa na kikosi kazi cha kampuni ya Executive Solutions 
 
Vijana waliopewa dhamana ya kuipandisha bendera ya taifa juu ya Mlima Kilimanjaro (kutoka kushoto), Aloice Joseph, Daniel Ngowi, na Raymond Ngowi wakiwa tayari kuanza mbio kuelekea kileleni baada ya kuingia katika lango kuu la Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro Marangu Mkoani Kilimanjaro jana ili kukamilisha mbio za Bendera ya Taifa za Kili kupitia Kampeni ya Jivunie utanzania inayoenda sambamba na miaka 50 ya Uhuru kwa udhamini wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager. Wa pili kushoto ni Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe.
Mzee wa Mitikasi nikiwa katika picha ya kumbukumbu.PICHA ZOTE NA JOHN BADI WA DAILY MITIKASI BLOG

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages