Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Mkurugenzi
Mtendaji wa Takukuru, Edward Hosea, baada ya kufungua rasmi mkutano Mkuu wa mwaka wa Viongozi wa Takukuru uliofanyika
Mkoani Tanga leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati
akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Viongozi wa Takukuru Mkoani
Tanga leo. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Takukuru, Edward Hosea
(kushoto) ni Waziri wa Ofisi ya Rais-Utawala Bora, Mathias Chikawe.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa
Mkurugenzi Mtendaji wa Takukuru, Edward Hosea, mara baada ya kufungua
ramsi mkutano Mkuu wa mwaka wa siku mbili wa Viongozi wa Takukuru
uliofunguliwa leo.
Baadhi ya Wakuu wa Vitengo wa Takukuru
waliohudhuria Mkutano huo Mkuu wa Mwaka ulioanza leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na
baadhi ya wakuu wa usalama wa Mkoa wa Tanga baada ya kufungua mkutano
huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na
baadhi ya watendaji wa Takukuru baada ya kufungua mkutano huo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)