Watu (kwa
mbali) wakishangaa kipande kilichokatika baada ya
mafuriko Mto Kirurumo kupasua barabara ya Arusha- Karatu na kuleta msongamano mkubwa wa magari. Majabali na mawe ya ukubwa tofauti
yamezagaa na kurundikana katika barabara hiyo. (Picha na Prisca Libaga
wa Maelezo).
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)