Waziri
Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (kulia) akitoa ushauri wa
kitaalamu na uzoefu kwenye Kamati ya Sheria, Katiba na Utawala wakati
wa mjadala wa Muswada wa Sheria ya Katiba ya Mwaka 2011 ambapo
mwanasheria huyo mkongwe amwataka watanzania wote kwa ujumla kuwa kitu kimoja katika jambo hili.
Wajumbe
na wataalam mbalimbali wa Kamati ya Sherai, Katiba na Utawala, Kamati
ya Mashirika ya Umma, Kamati ya Fedha za Serikali za Mitaa na Kamati ya
Hesabu za Srikali wakiwa katika mijadala mikali-mikali leo.
Baadhi ya wataalam kutoka vyombo vya Ulinzi wakiwa katika kikao hicho.Kwa picha zaidi tembelea www.prince-minja.blogspot.com.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)