Warsha ya rasimu ya muongozo wa kusimamia mafuta ya kupozea mitambo - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Warsha ya rasimu ya muongozo wa kusimamia mafuta ya kupozea mitambo

Baadhi ya Washiriki wa Warsha ya Rasimu ya Muongozo wa Kusimamia Mafuta ya Kupozea Mashine na Mitambo ya Viwanda[Polychlorinated Bipheny, PCB] inayofanyika kwenye Hotel ya Belinda Mjini Dar es Salaam wakiwa katika mkutano huo.{picha na Ali Meja]
Washiriki wa Warsha ya Rasimu ya Muonggozo wa Kusimamia Mafuta ya Kupozea Mashine na Mitambo ya Viwanda [Polychlorinated Bipheny. PCB] wakiwa katika Picha ya Pamoja Mara Baada ya Ufunguzi wa Warsh huko kwenye Hotel ya Bilinda Jijini Dar es Salaam[Picha na Ali Meja]

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages