Mwendesha Mada Charles Muhoni alipokua akitoa ufafanuzi juu ya
Shilingi ya Tanzania Kwanini inapolomoka kila siku katika kongamano
lililofanyika katika ukumbi wa kufundishia wa chuo kikuu cha dodoma hapo
jana
Mmoja Wa wanafunzi wanaosoma
Shahada ya Uchumi na Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma Mr Elieazar
alipokua akitoa maelezo juu ya thamani ya Shilingi ya Tanzania dhidi ya
Fedha Za Kigeni na Sababu kwanini shilingi ya Tanzania inaporomoka Kila
Siku
Mwanafunzi anayesoma Shahada ya Uchumi Fidelis Mroso alipokua
akifafanua juu ya Maswala mazima ya Shilingi ya Tanzania dhidi ya Pesa
za kigeni hasa Dola ya Marekani katika kongamano lililofanyika katika
ukumbi wa kufundishia wa chuo kikuu cha Dodoma jana jioni.
Baadhi Ya Wanafunzi Walioshiriki Katika Kongamano hilo
lililofanyika Chuo Kikuu Cha Dodoma
Makamu Mwenyekiti Wa Taasisi Ya Wanafunzi wanaosomea Uchumi
ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDEA) Victor Mengi alipokua akifungua
kongamano linalohusu Juu ya Kuporomoka Kwa Shilingi ya Tanzania Dhidi ya
Fedha Za Kigeni lililofanyika Chuo Kikuu Cha Dodoma Jana
Mmoja Wa Wanafunzi Wanaosoma Uchumi Zahara Muhidin Alipokua
Akichangia Mada wakati Wa Kongamano hilo
Baadhi ya Washiriki Walioshiriki Kongaman hilo wakiwa katika
picha ya pamoja.
Wanafunzi Wa Uchumi Wakiwa Katika Picha ya Pamoja Mara baada
Ya Kongamano hilo Kumalizika
Sehemu ya Wanafunzi walioshiri kongamano hilo.
Makamu mwenyekiti wa Taasisi ya Wanafunzi Wanaosoma Uchumi
Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDEA) Victor Mengi Akiwa katika Picha Ya Pamoja
na Mwanafunzi Mwenza Lilian Makanzo Mara baada ya Kongamano Hilo
kumalizika.
.......
Wanafunzi Wanaosoma Uchumi Chuo Kikuu Cha Dodoma
hapo jana walifanya kongamano ambalo lilihusu juu ya kuporomoka kwa
shilingi ya Tanzania dhidi ya fedha za Kigeni husasani Dola ya Marekani
ambapo wanafunzi wengi waliweza kutoa sababu ya kwanini shilingi ya
tanzania inaporomoka na vilevile waliweza kutoa maoni ya nini kifanyike
katika kuhakikisha shilingi yetu ya Tanzania inakua na thamani pamoja na
kuwa na uchumi imara.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)