Katika hali isiyo ya kawaida wanafunzi wa Kigeni Kutoka Msumbiji wa mwaka wa 2 wa kitivo cha sayansi ya jamii cha chuo kikuu cha dodoma (UDOM)wakicheza mpira wa miguu bila wasiwasi katika uwanja wa mpira wa kikapu.je hii ni sahihi au wanataka kusema kuwa chuo kikuu cha dodoma kina uhaba wa viwanja vya mpira?Jibu ni hapana Kitivo hiki cha sayansi ya jamii kina viwanja viwili vikubwa vya mpira tu lakini waliamua kwenda kucheza hapo bila uoga wala aibu je uwanja huu ukiendelea kutumiwa hivyo utadumu?au huo mpira wa miguu wanaochezea hapo utadumu pia?
Wanafunzi Wa Kigeni Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma Kutoka Nchini Msumbiji Wakisakata Kambumbu bila Uoga Katika uwanja wa mpira wa kikapu chuo hapa leo jioni.
Wanafunzi Wa Kigeni Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma Kutoka Nchini Msumbiji Wakisakata Kambumbu bila Uoga Katika uwanja wa mpira wa kikapu chuo hapa leo jioni.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)