WAKIFANYA USAFI WAKATI WA KIPINDI DARASANI JE WAPO SAHIHI KWA HILO? - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAKIFANYA USAFI WAKATI WA KIPINDI DARASANI JE WAPO SAHIHI KWA HILO?

 Hawa ni wafanyakazi wa kampuni  ya kufanya usafi iliyopewa kazi na chuo kikuu cha Dodoma kuhakikisha kuwa mazingira yanakua masafi lakini cha kushangaza ni kwamba wafanyakazi hawa walikua wanafanya usafi wakati wa kipindi ambapo wanafunzi walikua wanasubiri mwalimu atoke ili aendelee masomo.
Muda huo wakati wakifanya usafi ulikua ni muda wa kipindi tayari kishaanza kwa bahati mbaya mwalimu alichelewa kidogo kuingia darasani...Swali ni kwamba wangemkuta mwalimu wangemtoa darasani wakati muda wao wa kufanya usafi ulishapita?na je wapo sahihi kabisa kufanya usafi wakati wanafunzi wapo darasani.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages