WAANDISHI WA HABARI WAKIPAMBANA NA MWENDESHA PIKIPIKI BAADA YA KUPIGA PICHA MAENEO YA VINGUNGUTI . - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAANDISHI WA HABARI WAKIPAMBANA NA MWENDESHA PIKIPIKI BAADA YA KUPIGA PICHA MAENEO YA VINGUNGUTI .

Mkazi wa Dar es Salaam aliyejulikana kwa jina la Jamal Bakhresa  akitumia helmet kuwakong'ota waandishi wa habari na wapigapicha  aliowatuhumu kumpiga picha yeye na mwendesha pikipiki mwenzake baada  ya kugongana katika barabara ya Nyerere eneo la Vingunguti jijini Dar  es Salaam jana.
Hapa ilibiddi Mpigapicha wa Kujitegemea na anayeendesha blogu ya Habari na Matukio Cathbert Kajuna akisaidia kuamua ugomvi huo uliotokea katika maeneo ya Vingunguti jijini Dar es Salaam jana.
Tukio hilo lilizua tafrani kama unavyomuona Bw. Jamal Bakhressa akipambana Mpigapicha wa gazeti la Jambo Leo Richard Mwaikenda.Picha/ Habari Kwa Hisani Ya John Badi Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages