Vodacom Miss Tanzania 2011 Arejea Nchini Kutoka Nchini Uingereza - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Vodacom Miss Tanzania 2011 Arejea Nchini Kutoka Nchini Uingereza

Vodacom Miss Tanzania 2011, Salha Izrael akipunga mkono mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana akitokea jijini London Uingereza alikoshiriki shindano la urembo la Dunia Novemba 6,2011
Vodacom Miss Tanzania 2011, Salha Izrael (katikati) akiwa na baadhi ya warembo walioshiriki shindano la Miss Tanzania 2011 waliofika kumpokea katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana akitokea jijini London Uingereza alikoshiriki shindano la urembo la Dunia Novemba 6,2011. Warembo hao toka kushoto ni Jenifa Kakolaki, Alexia William, Hussna Maulid na Hamisa Hussein.Picha na Mdau Mroki Mroki

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages