GARI LA POLISI LIKIWA TAHABANI.... - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

GARI LA POLISI LIKIWA TAHABANI....

Gari la polisi Iringa likiwa limeharibiwa vibaya katika tukio lililomuhusisha mfanyabiashara maarufu wa mjini Iringa Mama Mbilinyi anayetuhumiwa kuwa anaishi na watu wanaodhaniwa kufa. (Picha na Frank Leonard).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages