
Mkuu wa Itifaki na Benki ya Maendeleo ya
Afrika na Kiongozi wa Ujumbe kutoka ADB nchini Tunisa akisisitiza vitu
muhimu vinavyohitajika kufanyika ili kufanikisha Mkutano wa Benki ya
Maendeleo Antoinette Batumubwira (kulia)
. Wengine ni Kamishna wa Fedha za Nje Said Magonya(katikati) na
Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa AICC Savo Mung,ong,o.

Kamishna wa Fedha za Nje kutoka Wizara
ya Fedha Said Magonya akiueleza Ujumbe wa Benki ya Maendeleo ya
Afrika(AfDB) kutoka mjini Tunis nchini Tunisia jana mjini Arusha hatua
mbalimbali zilizokwishafanywa na Tanzania katika kuhakikisha mkutano wa
AfDB unafanyika kwa ufanisi hapo mwezi Mei mwakani(2012). Wengine ni
Mkuu wa Itifaki na Benki ya Maendeleo ya Afrika na Kiongozi wa Ujumbe
kutoka AfDB nchini Tunisa Bi. Antoinette Batumubwira (kulia)
na Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa AICC Savo Mung,ong,o(kushoto).

Ujumbe wa Benki ya Maendeleo ya Afrika(ADB)
kutoka Tunis nchini Tunisia wakiwa na Ujumbe wa Kamati ya Maandalizi ya
Mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika unaotarajiwa kuwafanyika
nchini mwezi Mei mwakani (2012) jana mjini Arusha wakiangalia eneo
mbalimbali ambapo mkutano huo utakaponyika.Picha na Tiganya Vincent,-Arusha





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)