UHABA WA MAJI WAZIDI KUITESA UDOM, WANAFUNZI SASA KUCHOTA MAJI CHOONI KWAAJILI YA MATUMIZI MBALIMBALI KAMA INAVYOONEKANA KATIKA PICHA YETU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

UHABA WA MAJI WAZIDI KUITESA UDOM, WANAFUNZI SASA KUCHOTA MAJI CHOONI KWAAJILI YA MATUMIZI MBALIMBALI KAMA INAVYOONEKANA KATIKA PICHA YETU

Hapa ni Chooni, Choo kilichopo katika moja ya kafteria zilizopo kitivo cha sayansi ya jamii, sanaa na lugha Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma ambapo kutokana na shida ya maji inayoikumba kitivo hiki wanafunzi wengi wamekua hawajali wapi maji yanapatikana bali wanachojali wao ni kupata maji.Pichani Ni Moja ya Vifaa vya kuchotea maji ambapo vilikutwa na kamera yetu kama vinavyoonekana huku wanafunzi wakisubiri ndoo pamoja na kidumu vijae ndipo wengine waendelee..Je kwa hili kuna kupona kweli hapo?



1 comment:

  1. Poleni Sana wanafunzi wa Udom, inabidi tuiombe serikali kuweza kutatua tatizo hili mapema kabla hayajawa mengine, ili kuwasaidia wanafunzi wetu kusoma vizuri!

    ReplyDelete

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages