UDOM YAIBUKA KIDEDEA KATIKA KINYANGANYIRO CHA REDDS UNI FASHION BASH 2011 NDANI YA ROYAL VILLAGE USIKU WA KUAMKIA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

UDOM YAIBUKA KIDEDEA KATIKA KINYANGANYIRO CHA REDDS UNI FASHION BASH 2011 NDANI YA ROYAL VILLAGE USIKU WA KUAMKIA LEO

  Mshindi wa kwanza wa shindano la wanamitindo lililojulikana kama 'Uni Fashion Bash',Respicious Denis (kushoto)kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) akipokea zawadi yake ya shilingi laki tano kutoka kwa mwakilishi wa TBL kanda ya kati John Tesha, baada ya kutangazwa mshindi katika shindano hilo lililofanyika ukumbi wa Royal Village mjini Dodoma jana.
Mshindi wa pili wa mitindo kutoka chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) akiwa katika Pozi mara baada ya kutangazwa mshindi Wa Pili ambapo aliibuka na kitita cha shilingi laki tatu.
Mshiriki wa Mitindo naye Kutoka UDOM alipookua akipita jukwaani katika mzunguko wa pili
  Baadhi ya washiriki wa shindano la mitindo lililojulikana kama Uni Fashion Bash kutoka vyuo mbalimbali vya mjini Dodoma wakicheza wakati wa utambulisho lililofanyika Royal Village Dodoma jana.
  Baadhi ya washiriki wa shindano la mitindo lililojulikana kwa Uni Fashion Bash kutoka vyuo mbalimbali vya mjini Dodoma wakicheza wakati wa utambulisho wa shindano hilo lililofanyika kwenye ukumbi wa Royal Village mjini Dodoma jana.
Baadhi ya wanamitindo wakionyesha umahili wao jukwaani wakati wa onyesho hilo
  Baadhi ya washiriki wa shindano la ubunifuwa mavazi lililojulikana kwa Uni Fashion Bash kutoka vyuo mbalimbali vya mjini Dodoma wakitambulishwa jukwaani wakati wa shindano hilo.
  Mshindi wa kwanza wa ubunifu wa mavazi wa shindano la 'UNI fashion Bash' ,Irene Rwakatale (kushoto) akipokea akipokea zawadi yake ya shilingi laki saba kutoka kwa Meneja wa Redds, Victoria baada ya kutangazwa mshindi wa shindano hilo jana.
  Baadhi ya wanafunzi kutoka vyuo malimbali vya mjini Dodoma wakishangilia wakati wa shindano hilo.
  Baadhi ya wanafunzi kutoka Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM)Kutoka Kulia Ni Shacky Pwepe, Angel, David, John Eugen walipokua wakishangilia mara baada ya mshindi wa kwanza wa mavazi kutangazwa kutoka UDOM  wakati wa shindano hilo.
  Mwanamuziki wa kizazi kipya, Mwana FA, akishambilia jukwaa wakati wa shindano hilo.
Mwanamuziki wa nyimbo zakizazi kipya, Mwana FA akiimba sambamba na mwana dada kutoka chuo cha UDOM akimwakilisha Msanii Lina wakati wa shindano la wanamitindi na ubunifu wa mavazi lililojulikana kama Uni Fashion Bash lililofanyika kwenye Ukumbi wa Royal Village Mjini Dodoma

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages