Studio
ya Tuff Records iliyopo mjini Morogoro, katika kushehelekea Miaka 50 ya
Uhuru wa Tanzania, imewakutanisha wasanii chipukizi wa muziki wa Kizazi
kipya 'Bongo Flava' katika tasnia ya muziki na kurekodi wimbo wa pamoja
uitwao Tunaweza Miaka 50, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha sherehe hizo
na kuonyesha umoja wa wasanii hao wa mkoani Morogoro.Wimbo huu ni
kwajili ya watu wote wenye upendo na inchi hii. Ni kwa ushilikiano na
blog ya CHUMA (BFL) http://bongoflavalink.blogspot.com
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)