RPC Liberatus Barlow, anasema hayuko tayari kuvumilia uvunjifu wowote wa amani jijini humo kwa kisingizio chochote kile
Pichani Juu askari poolisi akilinda Doria Jijini Mwanza Leo
Wadau mbalimbali wakishangaa jinsi mambo yalivyokua yakiendelea jijini Mwanza leo
--
Hali
ilikuwa tete jijini Mwanza leo hii baada ya kundi kubwa la Waislam
kujazana mahakamani na kufanya fujo wakati kesi ya kuchoma Koran
ilipokuwa ikisikilizwa.Ililazimika jeshi la Polisi kuingilia kati na
kuwatawanya kwa kutumia mabomu ya machozi , mji mzima ilikuwa ni
patashika nguo kuchanika.Picha na Habari na Mdau Bernard
Rwebangira-Mwanza
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)