TAMSAHA LA ANTI VIRUS AKA VINEGA LAFUNIKA JIJINI DAR ES SALAAM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TAMSAHA LA ANTI VIRUS AKA VINEGA LAFUNIKA JIJINI DAR ES SALAAM

 Wasanii wa kizazi kipya waliowahi kutamba zamani waliounda kundi la Vinega wakiongozwa na Mkurugenzi wa Deiwaka Entertainment, Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ (pichani juu) usiku wa kuamkia juz wamefanya onYesho lililohudhuriwa na maelfu ya watu katika Viwanja vya Chuo cha Ustawi wa Jamii jijini Dar es Salaam.  
 Mheshimiwa Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Kambi y Upinzani  Bunge na Mwenyekti wa CHADEMAFreeman Mbowe akimpongeza  Mbunge wa Mbeya Mjini- Chadema Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ kwa Kuandaaa tamasha hilo wa Kwanza Nyuma ni Mheshimiwa Mbunge wa Ubungo -CHADEMA ,Mheshimiwa John Mnyika
 Sehmu kubwa ya Maeelfu ya watu waliojitokeza kwenye tamasha la kihistoria la Vinenga 
Salaam kutoka kwa mashabiki 
Mheshimiwa Mbunge wa Mbeya Mjini- Chadema Joseph Mbilinyi ‘Sugu’(Kushoto)akiwa katika picha ya pamoja na Mdau Hajji Muki na Kulia ni Mheshimiwa Mbunge wa Ubungo -CHADEMA)John Mnyika  ndani ya Tamasha la Vinega KWA PICHA ZAIDI NA ZAIDI <<< BOFYA HAPA >>>

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages